Apply new latest job vacancies from JKT Tanzania, The history of the establishment of JKT begins in 1958 during the visit of national leaders to Ghana, where the Father of the Nation Mwl. Nyerere and Hon. Rashid Kawawa (Simba wa Vita) went to attend the celebrations to celebrate one year of the country’s independence.
Job Vacancies At JKT Tanzania
FUNDI SANIFU MSAIDIZI – USHONAJI (TAILORING) – 14 POST |
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa |
2024-06-05 2024-06-18 |
NA |
· Waliohitimu kidato cha nne (IV) na kufuzu kozi ya ufundi ushonaji ya mwaka mmoja kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali. · Waliohitimu kidato cha nne (IV) wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Hatua ya II (Trade Test II) kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali. |
i. Kushona vitambulisho, kubadilisha na kuambatanisha kwenye mavazi. ii. Kutoa uzi kwenye mavazi kwa kutumia wembe au kitu maalum. iii. Kuachanisha sehemu za nguo na kushona kwa mkono na cherehani. iv. Kushauriana na wateja aina ya mavazi na vitambaa husika. v. Kuendeleza, kunakili, au kubadili mtindo wa mavazi na muundo wake. vi. Kushona, kurekebisha nguo zilizopimwa kutokana na vipimo vya mteja ,watengenezaji na mtindo wa ushonaji. vii. Kuhakikisha nguo ya mteja inakaa vizuri na kukubali mabadiliko Kuhakiki au kuacha, kufananisha mshono wa suti uweze kukaa vizuri. viii. Kuhakikisha vitambaa vya nguo husika vina uwiano kutegemea na mabadiliko husika ix. Kufanya mabadiliko ya mtindo wa mavazi kama vile kushona mfuko wa miguu, kupunguza paja na kutoa ped. x. Kupima sehemu ya mikono, miguu, pant na kuweka alama au mabadiliko ya mpasuo. xi. Kuweka chati ya nguo na kukata kwenye mstari kwa kutumia mkasi. xii. Kugandamiza nguo kwa kutumia pasi ya mkono au mashine. xiii. Kufanya kazi zingine atakayopangiwa na msimamizi wake kulingana na kada yake. |
TGS A |